sauti za tembo katika mbuga ya wanyama ya Amboseli nchini Kenya, ambapo mamia ya tembo wa msituni huishi na binadamu.
Katika mbuga hiyo ya wanyama ya Amboseli, binadamu na ndovu mara nyingi huzozania maji ambayo ni adimu katika sehemu hiyo.
Kutokana na mzozo huo wanyama wamejifunza kutambua sauti na lugha ambazo wanahisi ni maadui na tishio kwa usalama wao.
Wakati ndovu hao waliposikia sauti za maasai, walirudi nyuma na kujikusanya lakini walisalia mahala hapo hapo wakati waliposikia sauti za wakamba.
Matokeo ya utafiti huo yameashiria kuwa ndovu wamekuza uwezo mkubwa wa kurejesha kumbukumbu ili kutambua tofauti kati ya sauti kadhaa za makabila mbali mbali duniani.
SOURCE BBC SWAHILI
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.