Tuesday, March 18, 2014
0
Abiria 1,086 waliweka rekodi ya kustaajabisha  mwaka 1991 mwezi wa tano tarehe 24, wakati ndege ya shirika la ndege la Ethiopia, ilipowabeba Wayahudi kutoka Adis Ababa kuelekea Israel..
Ndege hiyo ilibeba abiria wengi mara mbili ya uwezo wake wa kawaida, huku ikiwalazimu wahusika wa ndege hiyo kutoa viti ili abiria hao waweze kuenea kwenye ndege hiyo, lakini lingine zuri ni kwamba, walifika salama.. NAJUA WAJUA NAMI NAKUJUZA WEWE UNAYETAKA KUJUA MENGI YA DUNIA..

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA

66204