hapo, na vyombo vya habari vya Ibadan vimeripoti kuwa watu kama 15 wamepatikana wakiwa wamefungwa minyororo kwenye uwa wa jengo hilo.
Tukio hili limewashangaza watu wengi sana huku miongoni mwa miili iliyopatika ikiwa ya wanaume 18 na wanawake 5.
Watu waliokuwa hai walipatikana vichwa vyao vikiwa vimenyolewa huku wakiwa wamefungwa kwa minyororo.
Mwanamke mmoja alijifungua mtoto Jumamosi katika jumba lenyewe ingawa mtoto wake aliuzwa. Alipoulizwa alivyojipata ndani ya jumba hilo, alishindwa hata kutamka neno na kisha kuzirai.
Takriban watu 9 walipatwa walikuwa wamelala sakafuni wakiwa na utapia mlo na wasiweze hata kuongea.
Nje ya jengo kulikuwa na kaburi lililokuwa wazi ambapo maiti walikuwa wakizikwa.
Inaarifiwa watu mashuhuri hutembelea jengo hilo hasa nyakati za usiku.
BBC SWAHILI
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.