Hadi kufikia sasa haijabainika iwapo waliokufa wote ni wafungwa au la .
Msemaji wa kitengo hicho cha jinai Marilyn Ogar , amesema maafisa wawili wa kitengo hicho walijeruhiwa vibaya na mahabusu walipowavamia kwa pingu zao .
Watu walioshuhudia wanasema milio ya risasi ilisikika karibu na kasri la rais punde baada ya jeshi la taifa kuingilia kati kuzima jaribio hilo la kutoroka kwa mahabusu.
Vyombo vya habari nchini humo vimesema kuwa gereza hilo....
linakisiwa kuwa limehifadhi wapiganaji wa kundi lililopigwa marufuku, la Boko Haram.
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.