Tuesday, March 18, 2014
0

Polisi mjini Mombasa pwani ya Kenya wamewakamata watu wawili waliokuwa na mabomu waliyoyatengeneza ndani ya gari lao
Kwa mujibu wa polisi washukiwa hao mmoja raia wa Kenya na mwingine ni...
msomali, walikuwa wanajiandaa kufanya mashambulizi katika eneo lisilojulikana.
Inaarifiwa polisi waliwakamata baada ya kupata taarifa kuhusu njama yao.
Vyombo vya habari vinasema kuwa usalama umedhibitiwa mjini humo kufuatia tukio hilo.

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA

66204