KUMBE DAR ES SALAAM HAINA MASTER PLAN!!??
na mahitaji ya watu kwa maana ya Idadi pamoja na uwezo wa Miundombinu yake..
Leo JAHAZINI utawasikia Meya wa Manispaa ya Ilala Mstahiki Jerry Slaa pamoja na Msathiki meya wa manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda.. wakielezea kwa nini miundombinu ya Dar-es-salaam imezidiwa na hivyo kusababisha adha kubwa kila msimu Mvua unapofika..
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.