Kadhalika bwana Zuma ameambia runinga moja nchini Afrika Kusini kwamba maafisa wa serikali ndio waliopanga ukarabati huo uliogharimu dola milioni 23 bila kumuarifu.
Hii ndio mara ya kwanza Rais Zuma kuzungumzia kuhusu...
makaazi hayo yaliyozua mjadala mkali wa umma Afrika Kusini.
Mhifadhi wa mali ya umma alisema baadhi ya ukarabati uliofanywa sio halali na kumtaka Zuma kurejesha baadhi ya fedha zilizotumika.
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.