kudhibiti hasira. Pia ametakuwa kuhudumia jamii kwa masaa 250 kwa kosa hilo alilofanya Julai mwaka jana.
Mpiga picha Paparazzi ,Daniel Ramos, alimtuhumu muimbaji huyo kwa kumpiga makonde na kumpokonya kamera yake.
Muimbaji huyo mwenye umri wa miaka 36 anasisitiza kuwa hana hatia.
"nilikuwa nafanya kazi yangu wakati West aliponishambulia, '' alisema mpiga picha huyo, '' ikiwa ni mimi ningekuwa nimemfanyia kitendo hicho ningekuwa kizimbani.''
Ramos pia alidai kuwa alihofia kulipiza kisasi baada ya matamshi ya muimbaji huyo kupitia kwenye televisheini.
West alikamatwa mwaka 2008 kufuatia vurumai lengine na mpiga picha katika uwanja huohuo wa ndege.
Kesi hiyo, ilitupiliwa mbali na mahakama baada ya West kuwalipia vifaa vilivyoharibika na pia kupata ushauri nasaha kuhusu namna ya kudhibiti hasira zake
![]() |
"leo utanitambua" Kanye West akinyang'anyana Camera na paparazi |
![]() |
Kanye West akimdunda "paparazi" |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.