Thursday, March 20, 2014
0
Leo JAHAZINI tutakuwa na Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mh.Zito Kabwe, tukiongelea mambo mbalimbali kuhusiana na mjadala wa kujadili Rasimu ya Katiba, lakini pia kipi tujifunze kutoka kwa wenzetu wakenya ambao wao walifanikiwa kupata Katiba mpya miaka miwili iliyopita!!
Unaweza kutusikiza lakini pia kutuona kupitia www.cloudstv.com alafu unachagua channel namba mbili, tukutane JAHAZINI..

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA

66198