Monday, March 24, 2014
0
Polisi nchini India wamesema kuwa mwanamke mwenye umri wa miaka 26 mtaalamu wa Komputa, amekuta akiwa amenyongwa nyumbani kwao.
Wazazi wa mwanamke huyo ambao wapo rumande, wamekiri kumuua binti yao kwa sababu...
aliolewa kinyume na matakwa yao.
Mwanamke huyo aliolewa na mfanyakazi ,mwenzake kutoka jamii tofauti siku chache zilizopita.
Maafisa wanasema kuwa mauaji kama haya sio kawaida kutokea maeneo ya Kusini mwa India.
Mauji kama haya sio jambo la kawaida kutokea maeneo ya Kusini mwa India

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA

66204