![]() |
Rais Joseph Kabila |
hospitali yenye vifaa vya kisasa kabisa nchini humo.
Ilianza kujengwa mwaka wa 1954 lakini ujenzi ukasimama wakati wa uhuru mwaka wa 1960 na kuanza tena miaka mingi baadae.
Hospitali hiyo hatimae ilimalizwa na Uchina miaka mitatu iliyopita lakini haikuweza kufunguliwa kwa sababu ya uhaba wa vifaa na wafanyakazi wenye ujuzi.
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.