Wanandoa ambao wameishi pamoja kwa kipindi kirefuuu kuliko wote hawa hapa, ni Bw.&Bibi Karam Chand na Kartari Chand ambao...
hadi tarehe 4 mwezi huu wa tatu 2014 wamefikisha miaka 88 na siku 83 ya ndoa yao!! Na maisha yao yote hadi sasa wamekuwa wakiishi huko Bradford, United Kingdom..
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.