Mkuu wa kitengo cha upelelezi ndani ya Fifa anafanya uchunguzi namna ambavyo...
mchakato huo ulifanyika.
Baadhi ya walioshiriki kupiga kura wamestaafu huku wengine wakiwa wanatumikia adhabu ya kufungiwa halikadhalika kushinikizwa kuacha kazi baada ya kukutwa na hatia ya kuvunja sheria ya Fifa.
Hatua hii haina uhusiano na uchunguzi uliofanywa na gazeti la Daily Telegraph kuhusu maafisa wa zamani wa Fifa, Mohamed Bin Hammam na Jack Warner wanaohusishwa na utoaji wa mkataba wa kuhodhi mashindano ya Kombe la dunia kwa Urusi mwaka 2018 na Qatar mwaka 2022.
Juma hili, gazeti hilo limeeleza kuwa shirika la upelelezi FBI linachunguza malipo yanayodaiwa kutolewa na Kampuni ya Bin Hammam kwa Warner na Watoto wake muda mfupi baada ya zoezi la upigaji kura kukamilika.
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.