Maafisa wa polisi katika wilaya ya Likoni ambayo iko kusini mwa Mombasa wamesema kuwa majambazi hao.....
walilivamia kanisa hilo na kuanza kuwafyatulia risasi waumini hao kiholela.
Usalama umeimarishwa katika eneo hilo kufuatia kutiwa mbaroni kwa watu wawili siku ya jumatatu ambao polisi wanadai walikuwa wakimiliki mabomu yaliofichwa ndani ya gari yao.
kumekuwa na visa tofauti vya ghasia mjini Mombasa katika miezi ya hivi karibuni vinavyoshirikisha vikosi vya usalama na waislamu wenye itikadi kali.
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.