Jeshi la angani la Marekani limewafuta kazi maafisa wake tisa katika
kambi moja ya silaha za kinyuklia baada ya kudanya katika mtihani.
Afisa mwengine katika kambi hiyo ya Malmstrom mjini Montana amejiuzulu.
Wachunguzi wanasema kuwa maafisa hao wa jeshi walihisi kulazimishwa kupasi asilimia 100% katika kila mtihani.
Uchunguzi huo umebaini kuwa maafisa hao hawakushiriki katika udanganyifu lakini walishindwa kutoa usimamizi wa kutosha
Udanganyifu huo ulibainika kufuatia uchunguzi wa utumizi wa mihadarati katika kambi hiyo..

![]() |
Wanajeshi wa America wakiwa kazini huko Afaghanistan |
![]() |
Wanajeshi wa America wkivuta Sigara.. |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.