MKUU WA MKOA WA MARA JOHN TUPPA, AFARIKI GHAFLA KAZINI..!! Tuesday, March 25, 2014 Unknown 0 Mkuu wa mkoa wa Mara, Bw.John Tuppa, amefariki ghafla leo akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo.. taarifa zaidi tutazidi kufahamishana, POLE kwa familia, ndugu, jamaa,marafiki na Mkoa wa Mara..
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.