Inaarifiwa kuwa wizara ya mambo ya ndani ya Misri imesema itawakamata watu wanaoitumia....
sana heshtegi hiyo.
Maneno hayo piya yamekuwa yakichorwa kwenye kuta za mjini Cairo chini ya mabiramu ya picha za Bwana Sisi.
Field Marshall E-Sisi aliipindua serikali iliyochaguliwa kwa njia za kidemokrasi ya Mohamed Morsi wa Muslim Brotherhood mwezi Julai mwaka jana.
![]() |
Raisi Morsi wakati huo Akimuapisha Eli-sisi kuwa waziri wa Ulinzi.. |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.