Saturday, March 08, 2014
0
Wanwake wakiwezeshwa wanaweza, ni msemo ambao kila kukicha unajizolea umaarufu mkubwa katika jamii yetu. Na sababu kubwa ni kwamba wamepewa nafasi na wamethibitisha kwa kiwango kikubwa kwamba wanaweza.
Kingine kizuri ambacho wanawake wanaweza fanya ni kupendana wao kwa wao na kusaidiana ili kuweza kutibitisha kwa vitendo kwamba kweli wanaweza.. HONGERA MWANAMKE!!

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA

66204