Tuesday, March 18, 2014
0
Watafiti nchini Uingereza wamegundua kuwepo Saratani katika mifupa ya kijana mmoja aliyeishi nchini Misri miaka elfu tatu iliyopita.
Hii ni miaka elfu mbili kabla ya kisa cha kwanza cha ugonjwa huo kuthibitishwa.
Mtafiti Michaela Binder, aligundua kuwa mifupa hiyo, ilikuwa...
na mashimo, na kugundua kuwepo aina ya Saratani katika mifupa hiyo.
Ugunduzi huu unaonyesha kuwa Saratani sio ugonjwa wa kisasa tu na hivyo wanasayansi watapata kuchunguza ambavyo ugonjwa huu ulianza miaka zaidi ya elfu moja iliyopita.


0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA

66205