Monday, March 24, 2014
0
NAJUA WAJUA NAMI NAKUJUZA WEWE UNAYETAKA KUJUA MENGI YA DUNIA, kumbe hizi dawa za kuongeza nguvu za "mapenzi" zinauwezo pia wa kufanya kazi hata kwenye viumbe hai vingine, kwa maana ya mimea.
Wanasayansi wamegundua kuwa UA lillilokatwa na baadae likamwagiwa maji yaliyochanganywa na VIAGRA basi UA hilo litaweza kudumu bila kunyauka kwa zaidi ya Wiki.. UPO HAPO!!?? Kama hutaki shauri yako, ukweli ndio huoo..

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA

66204