Licha ya kuharamishwa, ukeketaji unafanywa sana uingereza miongoni mwa jamii ya wasomali na waarabu
Maafisa nchini Uingereza wamesema kuwa wamewachukulia hatua za kisheria madaktari waliomkeketa...
mwanamke mmoja nchini humo.
Daktari , Dhanoun Dharmasena, anadaiwa kumfanyia
kitendo hicho mwanamke mmoja punde baada ya kujifungua katika hospitali
moja mjini London.

Licha ya kuharamishwa, ukeketaji unafnya sana uingereza miongoni mwa jamii ya wasomali na waarabu
Maafisa nchini Uingereza wamesema kuwa wamewachukulia hatua za kisheria madaktari waliomkeketa mwanamke mmoja nchini humo.
Daktari , Dhanoun Dharmasena, anadaiwa kumfanyia
kitendo hicho mwanamke mmoja punde baada ya kujifungua katika hospitali
moja mjini London.
Mshukiwa wa pili, Hassan Mohamed, anatuhumiwa kumsaidia daktari Dhanoun katika kutekeleza kitendo hicho.
Wawili hao ni washukiwa wa kwanza kuwahi kufikishwa mahakamani kwa kufanya kitendo hicho ambacho kimeharamishwa nchini humo.
Sheria hiyo imekuwepo tangu mwaka 1985.
Duru zinasema kuwa Uingereza haijakuwa na rekodi
nzuri ya kuwashitaki wakeketaji kama vile Ufaransa ambapo zaidi ya watu
100 wameshitakiwa kwa kuwakeketa wanawake.
SOURCE BBC
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.