kipindi cha miezi miwili, lakini jana jamaa akaamua kuondoka na kusababisha askari kumkamata na kumpeleka rumande kwa kukaidi amri halali.
Sijui madawa ya kulevya na pombe yataendelea kuwatesa vijana wanaofanya sanaa ya muziki hadi lini, hata hapa kwetu Tanzania kwa sasa mambo yameanza kuharibika, mmh khatarii. Tutakujuza kitakachoendelea kuhusiana na Bw.Chris Brown.
![]() |
Wakati bado hajaanza kutumia maulevi yake, akiongea na mashabiki wake.. |
![]() |
Wakati mapenzi yameshika mahali pake na Rihanna.. |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.