Tutumie maswali kuhusiana na wizara yake na hata kuhusiana na siku ya wanawake, nasi tutamuuliza kwa niaba yako mdau wa JAHAZI!!
Unaweza angalia kipindi cha JAHAZI leo kupitia www.cloudstv.com alafu unachagua channel namba mbili..
Basi la kwanza nchini Uingereza linalotumia kinyesi na uchafu unaotokana na chakula limeanza safari yake ya kwanza. Bio Bus,lenye viti 40 na amba...Read more
Mtu mmoja ameripotiwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mapigano katika mji wa Mombasa pwani ya Kenya. Polisi walipambana na vijana wali...Read more
Polisi nchii Tanzania wanasema watu 7 wameuawa kwa kuchomwa katika eneo la Kigoma magharibi mwa nchi hiyo kwa tuhuma za uchawi. Nyumba za marehemu...Read more
Mwanamke mmoja nchini Sweden amejifungua mtoto kutokana na kizazi alichowekewa kupitia upasuaji. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 36 alizaliwa b...Read more
Wafungwa wawili wamepigwa risasi walipokuwa wakijaribu kutoroka kutoka katika mahakama moja nchini Afrika Kusini. Afisa mmoja kutoka wizara ya sh...Read more
Mwanamuziki wa kimataifa wa mtindo wa Pop Justin Bieber anachunguzwa na polisi kwa madai ya wizi Mwanamuziki huyo mwenye umr...Read more
Chris Brown amepelekwa rumande baada ya kukaidi na kuamua kutoroka kutoka kwenye kituo cha kusaidia watu wenye matatizo ya ulevi na madawa ya kulev...Read more
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.