hafla iliyoshuhudiwa na maafisa wakuu wa serikali pamoja na wandishi wa habari.
Adhabu ya maisha jela itatolewa kwa watu watakaopatikana na hatia ya kushiriki mapenzi ya jinsia moja zaidi ya mara moja kati ya watu wawili waliokubaliana kufanya hivyo.
Adhabu hiyo pia itatolewa kwa wale wanaopatikana na hatia ya kuwahusisha watoto katika vitendo hivyo, walemavu au kumuambikiza mtu virusi vya Ukimwi.
Mswada huo umepigiwa debe sana nchini Uganda, lakini mashirika ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu yameulaani vikali..
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.