Watu sita wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi katika eneo la California mtaa wa Eastleigh, mjini Nairobi...

Watu sita wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi katika eneo la California mtaa wa Eastleigh, mjini Nairobi...
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema hadhani ni sawa kurejesha fedha za umma zilizotumiwa kukarabati nyumba yake binafsi kwa sab...
Kesi dhidi ya wandishi watatu wa shirika la habari la Al Jazeera nchini Misiri imeanza kusikilizwa tena leo nchini Misri . ...
Waziri mkuu Ehud Olmert akiwa na Raisi George Bush Jr. Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Ehud Olmert amepatikana na hatia ya kupokea ...
Mahakama moja nchini Pakistan imemsomea mashitaka ya uhaini mtawala wa zamani wa kijeshi Pervez Musharraf, ikiwa ni mara ya kwanza kw...
Wafungwa 21 waliuawa walipojaribu kutoroka kutoka kwenye makao makuu ya Kitengo cha Jinai cha jeshi la polisi la Nigeria lililoko Abu...
Watoto wakicheza juu ya majengo, sababu chini hakuna nafasi.. Huko hong Kong kuna mji unaitwa "Walled" ambao kuna sehemu y...
Jamaa kama 30 wa abiria wa China waliotoweka na ndege ya Malaysia wamesafiri hadi Kualu Lumpur, mji mkuu wa Malaysia, kuwahimiza waku...
Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ya Misri imesema kuwa inachunguza maneno yanayoandikwa kwenye mitandao ya kijamii yakiwa na kitambuli...
Koo mbili za Wanyazaga na Wambukwa mnyambwa wakiwa wamekusanyika kukizunguka kisima, kinachosemekana kimejaa maajabu cha Bwibwi kili...
Jeshi la angani la Marekani limewafuta kazi maafisa wake tisa katika kambi moja ya silaha za kinyuklia baada ya kudanya katika mtiha...
Utafiti mpya kutoka ulaya na marekani kazkazini unasema kuwa,kupigwa marufuku kwa uvutaji wa sigara hadharani kumesababisha kushuka ...
Hifadhi moja ya wanyamapori iliyowagadhabisha watu kwa kumuua Twiga nchini Denmark mwezi jana, imewaua Simba wanne ili kutoa nafasi ...
Jaji mkuu wa Kenya Daktari Willy Mutunga amewakanganya wakenya baada ya kusema wanapaswa kuwatembelea waganga kutafuta suluhu ya ma...
Graham Island (Sicily) Kuna kisiwa ambacho kwa sasa kipo chini ya maji, na wadau wamekichangamkia kwa kuweka hadi Bendera ili kuji...
Askari mwenye umri mdogo kuliko wote ambaye alishiriki kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia alikuwa na umri wa miaka 8, na ambaye alipof...
Mahakama ya juu zaidi nchini Zimbabwe imeagiza serikali kumlipa fidia mwathiriwa wa ubakaji aliyezuiwa kutoa mimba yake iliyotokana na...
Serikali ya Tanzania imesema kuwa imebaini kuwepo kwa biashara haramu ya kusafirisha watoto wa kike kwenda nchini China kwa lengo la ...
Maafisa watatu kutoka katika idara ya kumlinda Rais wa Marekani Barack Obama katika ziara yake nchini Uholanzi, wamerejeshwa nyumbani ...
Maelfu ya watoto nchini Uingereza na Wales, wanakabiliwa na tisho la kukosa elimu huku walimu wao wakigoma. Walim...
Popo hutumiwa kutengeza kitoweo maarufu sana katika baadhi ya maeneo ya Guinea, lakini sasa inahofiwa kuwa popo wanachangia kusambaa kw...
Mkuu wa mkoa wa Mara, Bw.John Tuppa, amefariki ghafla leo akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo.. taarifa zaidi tutazidi kufahamishana...
Mtoto Cyprian Osinya na kakake walikuwa kanisani wakati wa shambulizi la Jumapili ...
Mamlaka ya usalama wa safari za baharini nchini Australia imesema kuwa operesheni ya kuitafuta ndege ya shirika la Malaysia iliyotowe...
Rais wa Fifa,Sepp Blatter ...
Ukahaba umeharamishwa nchini Kenya ...
Polisi nchini India wamesema kuwa mwanamke mwenye umri wa miaka ...
NAJUA WAJUA NAMI NAKUJUZA WEWE UNAYETAKA KUJUA MENGI YA DUNIA, kumbe hizi dawa za kuongeza nguvu za "mapenzi" zinauwezo pia wa ...
Mahakama nchini Misri imewahukumu kifo watu 529 ambao wanasemekana kuwa wafuasi wa Rais aliyeng'olewa mamlakani Mohammed Morsi....
Shereka Fab-Ann Marsh Kijana mwenye umri wa miaka 15, amefikishwa mahakamani kwa kosa la mauaji mjini London Uingereza. ...
Raisi Gudlucky Jonathan wa Nigeria Wasichana waliotekwa nyara na kundi lenye itikadi kali za kidini, Boko Haram nchini Nigeria, wamei...
Polisi wa Nigeria wanasema wamegundua miili kadha iliyooza, mafuvu na viungo vengine vya binaadamu katika jengo lilohamwa katika mji wa...
Watu wanne wameuawa baada ya mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki kuwafyatulia risasi ndani ya kanisa karibu na mji wa bandari ya Momba...
Wakati Dunia ikiwa bado inajiuliza maswali mengi kuhusiana na ilipo ndege ya Malaysia ambayo imepotea kwa zaidi ya wiki tatu sasa. Wanas...
Rais Joseph Kabila Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo amefungua hospitali mjini Kinshasa, ambayo imechukua miaka 60...
Salvatore Riina Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amewaonya wanachama wa genge la Mafia kwamba watakwenda motoni iwapo...
Bunge la Kenya lenye wabunge wengi wanaume limeidhinisha mageuzi yenye utata katika mswada wa ndoa ambayo yatawapa wanaume usemi zaidi...
Polisi watatu wanaolinda makazi ya waziri mkuu wa Pakistan wamesimamishwa kazi kwa muda baada ya Paka kumuua Tausi wa waziri mkuu. ...
Licha ya kuharamishwa, ukeketaji unafanywa sana uingereza miongoni mwa jamii ya wasomali na waarabu ...
Afrika Kusini inakabiliwa na uhaba wa hospitali za watoto, ...
Waandishi wa habari nchini Rwanda ...
Teodorin Obiang anadai...
El Azizia LIBYA Huko Libya, mwaka 1992 kulirekodiwa joto lililofikia hadi nyuzi joto 57, au waweza sema F 136, na hii ilikuwa ni huko E...
Leo JAHAZINI tutakuwa na Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mh.Zito Kabwe , tukiongelea mambo mbalimbali kuhusiana na mjadala wa kujadili Rasimu ...
Mamia ya wanafunzi nchini Taiwan wamevamia na kuliteka bunge la nchi hiyo tangu Jumanne usiku kupinga kile wanachosema ni mkataba wa ...
Kuna karibia 0.2 milligrams ya dhahabu ndani ya mwili wa binadamu, ambapo ukitumia damu za watu 40,000 utafanikiwa kupata 8g ya mzigoo...
Mkuu wa idara ya kupokea malalamishi ya umma, Bi Thuli Madonsela, hivi leo anatarajiwa kutoa ripoti ya idara hiyo kuhusu uchunguzi wa...
Kiongozi wa chama cha MSD Alexis Sinduhije, Wanachama kadhaa kati ya sitini wa chama cha upinzani nchini Burundi MSD waliofikishwa...
Familia ya afisaa mmoja wa Elimu nchini Kenya imepigwa na butwaa baada ya kukuta jeneza dogo likiwa limewekwa kwenye mlango wao mjini ...
Serikali ya China imeanza juhudi za kuitafuta katika ardhi yake ndege ya Malaysia iliyotoweka mwishoni mwa wiki jana. ...