Monday, April 14, 2014
0

Kwa kweli Duniani kuna mambo, hivi inakuwaje mtoto wa miaka tisa ashtakiwe kwa makosa ya mauaji!!?? Mtoto huyu anaitwa Mussa Khan, ambaye aliunganishwa kwenye kesi inayowahusisha watu wengine kwenye familia yake. Ambao woote wamesthakiwa kwa makosa ya mauaji.. Lakini pia, kuna vyura ambao wao Bhana wakati wa winter huganda kabisa, kwa zaidi ya.....
miezi miwili, lakini baadae,  yaani wakati wa Summer huwa safi na kuendelea na maisha yao kama kawaida..!!

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA