Kumbe wenzetu kule Afrika ya Magharibi wanakula Chura, tena vyura wenyewe ni wakubwa kwa kiasi cha kufikia hadi kilo saba, kwa chura mmoja. Yaani ni sawa na mtoto wa miezi mitatu hadi sita kama ukilinganisha na Binadamu. Tena wanasema wana... ladha nzuri na wanasaidiaa kusafisha sumu mwilini, KWELIIIII!!??? |
Mhhhh Emma Kuku KWELIIIII!!!!!!!!
ReplyDelete