Saturday, April 12, 2014
0
Balozi wa Zimbabwe nchini Nigeria ameitwa akajieleze kwa sababu ya matamshi ya Rais Robert Mugabe kuhusu rushwa.
Mwezi uliopita Rais Mugabe alilalamika kuwa Wa-Zimbabwe wanaanza kuwa kama Wa-Nigeria - wakitaka jambo lifanyike inabidi watie mkono mfukoni.
Wizara ya mashauri ya nchi za nje ya Nigeria imemwambia balozi wa Zimbabwe, Stanley Kunjeku, kwamba hawakubali shambulio hilo la kuwatusi...

0 comments:

Post a Comment

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA