Awali walikuwa chini ya uangalizi wa majeshi ya Kenya ambalo lipo kwenye kikosi cha Umoja wa Afrika kilichopo nchini Somalia AMISOM.
Kenya ilituma majeshi yake kwenda nchini Somalia mwaka 2011 kujiunga na AMISOM kufuatia matukio ya utekaji nyara yaliyokuwa yakiendeshwa na wapiganaji wa Al shabaab katika mipaka ya nchi hiyo na Somalia.
Majeshi ya AMISOM yakishirikiana na.....
majeshi yale ya serikali ya Somalia yamekuwa yakiendesha mapambano dhidi ya wapiganaji wa Al Shabaab ambao wanafadhiliwa na kundi la kigaidi la al Qaeda linaloshikilia maeneo ya kusini na katikati mwa Somalia.
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.