Saturday, April 05, 2014
0
Alex Ferguson ametumia zaidi ya miaka 39 kwenye mchezo wa mpira wa miguu, lakini sasa baada ya kutangaza kuachana rasmi na mchezo huo wa soccer, ameamua kurudi darasani. Lakini si kama mwanafunzi la hasha, bali kama mwalimu katika chuo maarufu huko Boston, USA...   Harvard Business School (HBS).
"BABU" atakwenda kufundisha kwenye mtaala mpya wa  "The Business of Entertainment, Media and Sports."
Ferguson alishawahi kufundisha kama....
mwalimu wa muda chuoni hapo, lakini kuanzia mwezi ujao (MAY) atafundisha akiwa mwalimu wa kudumu chuoni hapo..

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA

66204