Friday, April 04, 2014
0
NAJUA WAJUA NAMI NAKUJUZA WEWE UNAYETAKA KUJUA MENGII YA DUNIA.. Kumbe kuku nao kama ilivyo kwa binadamu, pindi pale wanapolala basi nao huota ndoto, na wakati mwingine hufanya hata vitendo na ilihali akiwa bado usingizini. Lakini lingine ambalo labda hulifahamu, Kuku huongea na kifaranga chake toka kikiwa ndani ya "YAI" kama tufanyavyo binadamu, kwa mama au baba kuongea na mtoto akiwa bado tumboni. Fahamu pia kwamba... kuku wanazo aina zaidi ya 30, za milio ya "KUWIKA" acha ubishi sasa, maana naona umeshaanza kubisha..

Mama Kuku akiwa anampa joto mtoto wa jirani yake Mbwa.. SAMBAZA UPENDO!!

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA

66204