Monday, April 28, 2014
0
NAJUA WAJUA NAMI NAKUJUZA WEWE UNAYETAKA KUJUA MENGII YA DUNIA, Kumbe hata Bungeni watu huruhusiwa kunywa pombee: Na hii inatokea kule nchini Uingereza, ambapo Waziri wa Fedha, anapokuwa akitoa Hotuba yake ya Bajeti, huruhusiwa kunywa pombe. Kama ulikuwa hufahamu, basi chukua hiyo, lakini pia eti Marubani wa Ndege za Apache, hufundishwa jinsi ya kutumia macho yao, kufanya kazi mbili kwa wakati mmoja. Mathalani, jicho la kushoto huangalia kule na jicho la kulia kuangalia sehemu tofauti..

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA

66204