Tuesday, April 08, 2014
0

Mti wenye umri wa zaidi ya miaka 6000, uliopo huko Afrika ya Kusini, ambao ndani yake kumetengenezwa Bar yenye uwezo wa kuhudumia watu zaidi ya sitini kwa wakati mmoja. Mmmhh aya NAJUA WAJUA, NAMI... NISHAKUJUZA BHANA!!
Ndani ya Mti hapo ndugu..

Mlango wa kuingilia kwenye hiyo Bar, ila kama wewe "KIBONGE" hapakufai, maana..
Wafanyakazi wa kiwanda kimoja huko Honduras, ambao hulazimishwa kuvaa "NEPI" ili wajisaidi huku wakiendelea na kazi, kwani ule muda wa kwenda "TOILET" ni kupoteza muda tuuu.. DUUUHHH!!

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA

66204