Kiongozi wa chama cha MSD Alexis Sinduhije, Wanachama kadhaa kati ya sitini wa chama cha upinzani nchini Burundi MSD waliofikishwa...
Kiongozi wa chama cha MSD Alexis Sinduhije, Wanachama kadhaa kati ya sitini wa chama cha upinzani nchini Burundi MSD waliofikishwa...
Familia ya afisaa mmoja wa Elimu nchini Kenya imepigwa na butwaa baada ya kukuta jeneza dogo likiwa limewekwa kwenye mlango wao mjini ...
Serikali ya China imeanza juhudi za kuitafuta katika ardhi yake ndege ya Malaysia iliyotoweka mwishoni mwa wiki jana. ...
Abiria 1,086 waliweka rekodi ya kustaajabisha mwaka 1991 mwezi wa tano tarehe 24, wakati ndege ya shirika la ndege la Ethiopia, ilipowab...
Mwanamuziki wa muziki wa kufoka au Rap nchini Marekani Kanye West, hajakana wala kukubali mashitaka ya kumshambulia mpiga picha katika...
Watafiti nchini Uingereza wamegundua kuwepo Saratani katika mifupa ya kijana mmoja aliyeishi nchini Misri miaka elfu tatu iliyopita. ...
Polisi mjini Mombasa pwani ya Kenya wamewakamata watu wawili waliokuwa na mabomu waliyoyatengeneza ndani ya gari lao Kwa mujibu wa pol...
Walevi nchini Kenya wamekuwa wakilalamika kuhusu matumizi ya kifaa malum cha kupima kiwango cha pombe walichokunywa madereva wa usiku ...
Ludwick Marishane kutoka Afrika ya Kusini ndie mbunifu wa "Gell" ambayo ukiipaka tu mwilini na kujisugua nayo, basi unakuwa h...
Wizara ya usafiri ya Malaysia inasema kuwa imeomba ushirikiano wa nchi zote kwenye njia mbili ambapo ndege iliyopotea juma lilopita hu...
Serikali ya Ufaransa imezindua mfumo wa kuendesha magari kwa siku maalum mjini Paris, kama njia ya kujaribu kupunguza uchafuzi mkubw...
Waziri wa uchukuzi wa Iraq Hadi al-Ameri, Wakati huo huo, Shirika la ndege la MEA laeleza kwamba ndege yake iliyokuwa na abiria 71 ...
Mwandishi vitabu Binyavanga Wainaina yeye aliamua kutangaza majuzi kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja huko nchini Kenya..Duuhh!! ...
Wanawake wanaochelewa kuzaa wanakabiliwa na tisho la kupata matatizo ya afya ya uzazi. Huu sio utafititi tu bali maoni ya daktari mmoj...
Mchezaji wa klabu ya soka ya West Brom, Nicolas Anelka amefukuzwa kazi kwa kosa la utovu wa nidhamu. Klabu hiyo i...
Chris Brown amepelekwa rumande baada ya kukaidi na kuamua kutoroka kutoka kwenye kituo cha kusaidia watu wenye matatizo ya ulevi na madaw...
Agizo la serikali ya Kenya kuzuia usafiri wa usiku wa magari ya abiria linakiuka uhuru wa wananchi wa nchi hiyo kusafiri. ...
Mahakama nchini Ujerumani imemhukumu rais wa klabu bingwa Ulaya, Bayern Munich, Uli Hoeness , kifungo cha miaka mitatu na miezi sita ...
Mahakama nchini India imewapata na hatia watu watatu waliombaka mtawa wa kikatoliki wakati wa ghasia za kupinga dini ya kikristo katik...
NAJUA WAJUA NAMI NAKUJUZA WEWE UNAYETAKA KUJUA MENGI YA DUNIA..Kuna band inayoitwa "HATEBEAK" ambayo mwimbaji kiingozi wake ni ...
Balozi wa Urusi ndani ya Umoja wa Mataifa ameuambia mkutano wa dharura wa Baraza la usalama kuwa Moscow haitaki vita na Ukraine. ...
Rais Paul Kagame Serikali ya Rwanda imesema hatua ya kuwatimua maafisa sita wa ubalozi wa Afrika Kusini mjini Kigali ni ya haki na i...
Mawaziri kutoka maeneo mbalimbali duniani wanakutana katika makao ya umoja wa mataifa mjini Vienna kuzungumzia njia za kupambana na da...
Mahakama kuu mjini Delhi India imesema kuwa hukumu ya kifo dhidi ya wanaume wanne waliopatikana na hatia ya kumbaka mwanamke mmoja it...
Maafisa wa Serikali ya Malaysia waliokuwa wanadadisi picha zilizopigwa na mtambo wa Satelite wa China ikionyesha kinachodhaniwa kuwa m...
Dunia kuna mambo mengi sana, ambayo pengine huyajui wala hujawahi hata kuyasikia, lakini kupitia JAHAZI kidogokidogo utapata wasaa wa kuy...
Rais wa Marekani Barrack Obama, ameonya Urussi kusitisha mpango wake wa kutaka kutwaa eneo la Crimea nchini Ukraine lasivyo iwekewe vi...
Mkuu wa mkoa wa Dar-es-salaa, Mh.Said Meck Sadiq amepiga marufuku kwa vyombo vya usafiri aina ya Bajaji, Bodaboda na Baiskeli za magurudu...
Afrika Kusini imetoa onyo kali kwa Rwanda huku mzozo wa kidiplomasia kati ya nchi hizo ukiendelea kutokota. Hii n...
Kile kitendawili ambacho kimechukua muda mrefu kuweza kutenguliwa, sasa kimepata jawabu baada ya Mh.Samuel Sita kuchaguliwa kwa kishind...
Mafunzo katika vyuo vikuu vya umma nchini Kenya yameathirika baada ya wahadhiri wa vyuo kuanza rasmi mgomo wa kitaifa. ...
Mwanamume mmoja aliyeishi jela kwa zaidi ya miaka 25 akisubiri hukumu ya kifo nchini Marekani, ameachiliwa huru baada ya mahakama kuba...
Mkuu wa jeshi la anga la Malaysia, amekanusha madai kuwa ndege ya Malaysia iliyotoweka, ilionekana mara ya mwisho Magharibi ya rasi ya...
Wanaharakati wa wapenzi wa jinsia moja, mawakili na wanasiasa wamewasilisha kesi mahakamani nchini Uganda kupinga sheria mpya dhidi y...
Wanawake wawili, Jumatatu walizuiliwa kwa saa 3 na mahakama moja nchini Uganda kwa kuingia mahakamani wakiwa wamevalia 'Mini Skir...
Utafiti mpya umebaini kuwa tembo wa msituni wanaweza kutofautisha lugha tofauti zinazozungumzwa na binadamu na vile vile kati ya sauti...
Utawala wa jimbo Colorado nchini Marekani,umesema kuwa katika kipindi cha siku za kwanza thelathini tangu ukuzaji na uuzaji wa bangi k...
Kampuni kubwa ya matunda nchini Ireland, Fyffes na kampuni nyingine hasimu ya Marekani Chiquita zimeungana kubuni kampuni kubwa zai...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, ameamuru maafisa wakuu watendaji wa mashirika ya serikali kukubali mishahara yao kukatwa kwa asilimia 20...
NAJUA WAJUA NAMI NAKUJUZA WEWE UNAYETAKA KUJUA MEENGI YA DUNIA.. Wanandoa ambao wameishi pamoja kwa kipindi kirefuuu kuliko wote hawa ha...
Serikali ya Syria inadaiwa kutumia mbinu zisizofaa kuwanyima chakula, raia, wasio na hatia na ambao pia ni wakimbizi. ...
Maafisa wa serikali nchini Yemen wamesema kuwa zaidi ya wahamiaji arubaini wa Kiafrika wamezama baharini, baada ya mashua walimokuwa w...
Maafisa waandamizi wa ulinzi nchini Malaysia wametoa maelezo kuhusu msako unaoendelea katika bahari ya kusini ya Uchina kuitafuta ndeg...
Wakuu wa Vietnam wanasema michirizi miwili mikubwa ya mafuta imeonekana katika bahari nje ya mwambao wa kusini wa nchi hiyo, huku msa...
Wanwake wakiwezeshwa wanaweza, ni msemo ambao kila kukicha unajizolea umaarufu mkubwa katika jamii yetu. Na sababu kubwa ni kwamba wamepe...
Kumbe jiji la Dar-es-salaam halina mpango unaoeleweka wa ujenzi, hali inayopelekea jiji kuendelea kukua bila mpangilio maalum, ambao unaen...
Wanasiasa na watu maarufu duniani wamesema hawatahudhuria mashindano ya Olympic ya walemavu 'Paralympic' ya majira ya baridi nc...
Wakati sehemu nyingine kwingineko Duniani kulala au kusinzia kazini ni kitu kisichokubalika. Huko nchini Japan jambo hilo linaruhusiwa ten...
Bungeni ni sehemu ambayo inakutanisha watu tofauti wenye uwezo na kaliba zenye kutofautiana, kuanzia Elimu , Fedha , Makuzi , Imani na hat...
Serikali ya Libya imesema kuwa mtoto wa Kiongozi wa zamani wa nchi hiyo, Saadi Gaddafi, ameondoshwa nchini Niger na hivi sasa....