Shrikisho la soka barani Afrika CAF limesema kuwa linasubiri ripoti ya refa kuhusu kisa hicho.
Kisa hicho huenda kikaangaziwa na kamati ya maandalizi mnamo tarehe mosi mwezi Disemba.
Basi la kwanza nchini Uingereza linalotumia kinyesi na uchafu unaotokana na chakula limeanza safari yake ya kwanza. Bio Bus,lenye viti 40 na amba...Read more
Mtu mmoja ameripotiwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mapigano katika mji wa Mombasa pwani ya Kenya. Polisi walipambana na vijana wali...Read more
Ripoti kutoka Magharibi mwa Afrika zinasema kuwa sherehe za Eid Ul Adhaa zimeathiriwa vibaya na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola. Nchini Guinea maeneo ...Read more
Mwanamke mmoja nchini Sweden amejifungua mtoto kutokana na kizazi alichowekewa kupitia upasuaji. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 36 alizaliwa b...Read more
Mchezaji mpira kutoka Cameroon amefariki baada ya kupigwa kichwani wakati mashabiki wakorofi waliporusha mawe mwishoni mwa mechi ya ligi ya Alg...Read more
Kiungo wa Barcelona na Spain Xavi Hernandez ametangaza kustaafu soka la kimataifa. Hernandez mwenye umri wa miaka 34 alich...Read more
Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere amesema anajutia kitendo chake cha kupigwa picha akivuta sigara hadharani katika bwawa la kuogelea huko L...Read more
Je ushawahi kushabikia smechi...Read more
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.