Lulu mdogo wake na Grace... |
Mama mzazi wa Grace, akifurahi kwa tabasamu la Kichaga! |
Graceee.... |
Pozi muhimu! na urembo unachangia... SAMAHANI LAKINI! |
Grace akiserebuka na MC mwenye "degree" mbili.. Big Boss Bernadetha Emmanuel.. |
Unisikilize tena kwa makini.. NDOA si lelemama! |
Grace na dada zake! |
Mawifi zake Grace sasa, kushoto ni mama Yona, mama Emma au Happy na Super tall... |
Lily nsimbo a.k.a mama Jumatatu, Mama watoto! alafu na huyu sijui nani.. ngoja ntakuambia baadae.. Mh..! |
Kitu cha keki sasa, kama jiko na sufuria lake vileee... |
Eti yupo na mamaye.. |
Keki akilishwa mama mkwe, Mama Mchungaji Marry Dongwe! |
Madada nao walilishwa.. |
A hug please! thats whats up.. mh..! |
Kula keki dada usahau shida zako! |
Asante mama mkubwa! |
Mama Mchungaji Marry Dongwe akiwa na shangazi, akifuatilia kwa makiniii.. |
Mama Emma (Happy) |
Mh..... |
Basi SAWA... |
Tucheze tufurahi.. ALELUYAH! |
Ooohh.. BWANA YESU APEWE SIFA! |
High table.. |
Kitchen party.. sasa je! vitu vya jikoni hivyo! |
Yes matunda.. |
Ndio zawadi lazima zikae kwenye mpangilio mzuuuri! hapa ilikuwa kabla ya shughuli mapemaa asubuhi yake! |
Lily, Beatriceee na Aika wakipanga zawadi! |
Ndio kitanda kikiwekwa mahala pake, zawadi kutoka kwa mama mkwe! |
Hata gari pia ilipendeza.. eeh.. NDIO! |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.