Uzinduzi wa album ya mwimbaji Sarah Mvungi, inayoitwa “NIACHENI NIMFUATE YESU” utafanyika mwezi wa kumi na moja tarehe kumi na moja. Na tofauti na zinduzi nyingine.............
za album ambazo umeshashuhudia, huu utakuwa ni wa kihistoria zaidi kwani utahudhuriwa na waimbaji wengi pia kutakuwa na maombezi! Uzinduzi huo utafanyika saa nane mchana jengo la IPS ghorofa ya pili jijini Dar-es-salaam, karibu na NMB bank au jengo la Benjamin Mkapa! Kwa maelezo zaidi mpigie mtumishi huyu kwa namba +255 717308282 BARIKIWA!
 |
Ukiwa na YESU, Hakika kila siku wewe ni kijana.. |
 |
Barikiwa mtumishi.. |
 |
Ni kama vile anasema "Usinipite mwokozi, unapodhuru wengine nami niguse" |
 |
Aleluyaaaahh..... |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.