Upendo Nkone akiimba wimbo uitwao "Mwambie Yesu" katika tamasha la ANBC huko Columbus Ohio, USA. Tumeambiwe twende kote tukawafanye wote kuwa wanafunzi wake! hakika hiki ndicho wakifanyacho waimbaji wetu wa injili hivi sasa. Barikiwa wote mnaoihubiri injili ya bwana kupitia KARAMA zenu.
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.