![]() |
Jamaa anauwezo wa kuyahamisha macho! mh.. vipaji vingine bana.. Lakini pia huko ulaya, kuna ngazi ambazo zimeambatanishwa na....... sehemu za kutelezea kama utaona ngazi zinakuchelewesha... |
![]() |
Ukitaka tumia ngazi au teleza..!! |
![]() |
Sasa huyu mbwa ndio nini tena? |
![]() |
Mbwa mkubwa kuliko wote Duniani.. Ni picha ya ukweli wala usigune! |
![]() |
Huyu ni paka wa Kichina! |
![]() |
Inavyoonesha anataka kuimeza yote lakini anashindwa sababu mdomo mdogo! |
![]() |
Watoto wanaiga kila kitu, tuwe makini wazazi! |
![]() |
Ndio wazee hawa wanamaanisha kwani toka 1961, ndipo haswa walipokutana kwa mara ya kwanza! |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.