Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya mivutano ya kisheria kwa wiki nzima. Mwandishi wa ...

Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya mivutano ya kisheria kwa wiki nzima. Mwandishi wa ...
Arsene Wenger ametia saini mkataba wa miaka miwili kama meneja wa klabu hiyo hadi mwaka 2017. Wenger, 64, ameongo...
Mchawi kutoka Tanzania amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu nchini Kenya kwa kumlaghai mwanamke mfanyabiashara mkenya na kumuibia shil...
Huduma za simu iitwayo Silver line iliyoanzishwa kusaidia wazee wanaokumbwa na upweke huko Uingereza imepokea idadi kubwa ya wapigaji ...
Mwanamke mmoja nchini Pakistan amepigwa mawe na familia yake wakiwemo babake na ndugu zake wa kiume hadi kufariki. Aliuawa nje ya jeng...
Kuna kituko kimetokea nchini Uingereza ambapo mwanamume mmoja kwa jina David Mason, mwenye umri wa miaka 30, alimshitaki mkewe Brenda ...
Taarifa kutoka nchi ya kifalme ya Swaziland zinasema kima cha fedha katika benki kuu ya nchi hiyo kimebaki dollar laki $8 pekee. Kamati ...
Mwanamke aliyeasi dini nchini Sudan na kupata adhabu ya kifo amejifungua mtoto mvulana akiwa jela mjini Khartoum kwa mujibu wa wakili...
Maafisa nchini Vietnam wanasema meli ya Chinese imeligonga na kulizamisha kwa kusudi boti la kuvua samaki la Vietnam katika eneo lilna...
Polisi nchini Japan wanachunguza kisa cha kushangaza ambapo maiti ya mwanamke aliyeuawa ilitumwa kutoka Osaka hadi Tokyo kwa njia ya ...
Mtoto mwenye umri wa miaka sita, ameorodhesha vitu ambavyo angependa kuona kabla ya kupoteza uwezo wake wa kuona kutokana na ugonjwa u...
Wanamuziki wawili wa bendi ya wanamuziki nchini Japan AKB48 wamejeruhiwa vibaya baada ya kushambuliwa na shabiki wao mmoja kwa kutumia...
Rais Joyce Banda wa Malawi ameamuru kusitishwa mara moja kwa shughuli ya kuhesabu kura na kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu wa nchi h...
Nyota wa Atletico Madrid Diego Costa amerejea mazoezini leo kujifua tayari kwa fainali ya kombe la mabingwa bara Uropa dhidi ya Real Mad...
Mkwezi wa milima mirefu ameokolewa kutoka futi 80 bondeni alipoandika ''Nahitaji msaada'' katika mtandao wa Facebook ...
Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC imemhukumu kiongozi wa zamanai wa wanamgambo waasi katika Jamuhuri ya kidemokrasi ya Kongo, Germain ...
Watu wawili wamejeruhiwa katika mlipuko uliotokea mjini Mombasa pwani ya Kenya. Miongoni mwa wawili hao ni afisa w...
Sasa polisi nchini Nepal wameagizwa kuwa wapole na wenye tabasamu haswa wanapotangamana (kuchanganyika) na raia wa taifa hilo. ...
Mwanamke mmoja, wa miaka 25, aliyepotea miaka 10 iliyopita, amewaambia polisi kuwa alilazimika kuolewa na aliyemteka nyara na kisha ku...
Walimu nchini Nigeria wanafanya maandamano ya siku moja kushinikiza serikali kuharakisha juhudi zake za kuwatafuta wasichana waliotekw...
Naibu waziri wa serikali za mitaa wa Malawi amejipiga risasi na kujiua nyumbani kwake mjini Lilongwe. Godfrey Kam...
Wanawake wanaokula udongo wakiwa wajiwazito wamo katika hatari ya kuwafanya watoto watakowajifungua kutofanya vizuri shuleni. ...
Utafiti uliofanywa nchini Uingereza unaonyesha kuwa Mbu wameanza kuvamia maeneo mbali mbali ya nchi hiyo. Mabadil...
Katika Umri wa miaka 85, Sheila Vogel-Coupe ni kahaba mkongwe zaidi nchini Uingereza na kwa umri huo bado anaweza kutengeneza Paun...
Rais aliyeondolewa madarakani nchini Misri, Hosni Mubarak amehukumiwa jela miaka mitatu. Wanawe wawili Alaa na Ga...
Ilikuwa tarehe 21 mwezi wa 5 mwaka 1996, wakati ambapo nchi nzima ya Tanzania ilizizima kwa SIMANZI na MAJONZI. Wakati Rais Benjamin Mkap...
Mwanamume aliyefungwa jela kwa miaka kumi na saba kimakosa ameombwa radhi nchini Uingereza. Mwanamume huyo alihuk...
Nchini Uganda mahakama imempata na hatia muuguzi mwenye HIV, aliyeshitakiwa kwa kumdunga mtoto mchanga sindano, ambayo awali ilimchoma...