Nyota wa Atletico Madrid Diego Costa amerejea mazoezini leo kujifua
tayari kwa fainali ya kombe la mabingwa bara Uropa dhidi ya Real Madrid
baada ya kudaiwa kuwa alizuru Belgrade kupata utabibu kutoka kwa Muuguzi
mmoja anayetumia kondo la nyuma kwa utabibu wake.
Costa aliumia mapema katika mechi ya kuamua mshindi wa ligi kuu ya Uhispania la liga ambayo Atleticoilitoka sare ya 1-1 na Barcelona na kutawazwa mabingwa..
Costa amejijengea wasifu kwa kufunga mabao msimu huu akiorodheshwa kufunga mabao 36
Turan, na Costa wapo katika orodha ya wachezaji watakao tua Lisbon baadaye leo usiku.
Kwa upande wao Real walipata jeki baada ya kurejea kwa mchezaji bora barani ulaya Cristiano Ronaldo na mshambulizi Gareth Bale .
Ushindi huo wa kombe la La Liga la kwanza tangu 1996, umeimarisha matumani ya Atletico kutwaa kombe lao la kwanza.
Costa aliumia mapema katika mechi ya kuamua mshindi wa ligi kuu ya Uhispania la liga ambayo Atleticoilitoka sare ya 1-1 na Barcelona na kutawazwa mabingwa..
Mshambulizi huyo wa Uhispania alitafuta huduma
za daktari huyo ambaye hutumia kondo la nyuma la farasi katika
hospitali maalum huko Belgrade.
Kocha Diego Simeone alipata jeki kiungo chake
cha kati kutoka uturki Arda Turan kurejea uwanjani kwa mazoezi saa
chache kabla ya mechi kubwa zaidi katika Historia ya timu hiyo ya
Atletico.
Kwa upande wao Real walipata jeki baada ya kurejea kwa mchezaji bora barani ulaya Cristiano Ronaldo na mshambulizi Gareth Bale .
Ushindi huo wa kombe la La Liga la kwanza tangu 1996, umeimarisha matumani ya Atletico kutwaa kombe lao la kwanza.
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.