Wednesday, May 21, 2014
0
Ilikuwa tarehe 21 mwezi wa 5 mwaka 1996, wakati ambapo nchi nzima ya Tanzania ilizizima kwa SIMANZI na MAJONZI. Wakati Rais Benjamin Mkapa alipotangaza na kuthibitisha ajali ya Meli ya Mv Bukoba, ambayo alipoteza maisha ya wa Tanzania wenzetu zaidi ya mia nne 400..  Leo ni miaka 18, toka kutokea kwa tukio hilo, ambalo limeacha kumbukumbu mbaya kwetu kama Taifa.  Tuzidi kuwaombea wenzetu, lakini pia tutafakari kila mmoja wetu kwa nafasi yake, JE USAFIRI WA MAJINI TANZANIA NI SALAMA..!!??

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA

66222