Mwanamke mmoja raia wa Ethiopia anayesema kuwa alibakwa na genge la watu nchini Sudan, na sasa amehukumiwa kifungo cha...
BLOGU MARAFIKI
KUHUSU MIMI
MAREHEMU, KOMLA DUMOR BADO HAJAZIKWA!!
Hafla mbalimbali za siku tatu kumuenzi aliyekuwa mtangazaji wa BBC Komla Dumor -aliyefariki ghafla mwezi uliopita akiwa na umri wa mi...
RAIS MUGABE NDIO RAISI KIKONGWE ZAIDI..
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amefikisha miaka 90 leo na kuwa rais mkongwe zaidi barani Afrika. Amekuwa Rais wa Zimbabwe tangu nchi h...
MCHUNGAJI AFARIKI GHAFLA KWA "RAFIKIYE"
Mwanamke amesema kuwa kasisi alikuwa nyumbani kwake kwa maombi K...
Mhh..!! MCHUNGAJI KIZIMBANI KWA UBAKAJI??
Mhubiri mkenya aliyedai kuwa na uwezo wa kuwatunga mimba wanawake, kimiujiza, kupitia kwa maombi, ameshitakiwa kwa makosa ya ubakaj...
MWANAMUZIKI JARULE, AMEMPOKEA YESU!!???
Mwezi wa tano mwaka huu amemaliza kifungo chake cha miaka miwili jela, alikofungwa kutokana na kukutwa na
WASHAMBULIWA VIBAYA WAKITOKA KANISANI..
Watu watatu akiwemo msichana mdogo mwenye umri wa miaka 8 waliuawa wakati watu waliokuwa wamejihami wakiwa kwenye pikipiki kushambuli...
Dr.KAWAMBWA KUKUTANA NA WADAU WA ELIMU KESHO..
Waziri wa elimu na ufundi Dr.Shukuru Kawambwa, kesho atakutana na Maafisa elimu kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara, ili kukumbushana na ...
DAKTARI AIBA HEROIN TUMBONI MWA MSHUKIWA..
Polisi nchini Urusi wamemzuilia daktari mmoja mpasuaji kwa madai ya kuiba kifuko kilichokuwa na dawa ya kulevya ya Heroin kutoka t...
JAJI AKATAA MTOTO ASIITWE MASIYA (MESSIAH)
Mtoto Martin akiwa na Mamaye Jaleesa Jaji Ballew wa huko nchini Marekani, amekataa mtoto asiitwe kwa jina la Messiah kwani jina hilo ...
GARI YA KWANZA KUPATA AJALI DUNIANI HII HAPA!!
Ingawa muonekano wake si wa kisasa kama magari tuliyonayo hii leo, lakini yalikuwapo na yalikuwa yakifanya safari kama kawaida.. Gari...
PAPA FRANCIS AKEMEA MADAWA YA KULEVYA!!!
Imebadilishwa: Kiongozi wa kanisa katoliki, Baba mtakatifu Francis, amekosoa vikali mipango ya kutaka kuhalalisha madawa ya kulevya ...
PAPA FRANCIS ZIARANI HUKO BRASIL
Baba Mtakatifu Francis amelakiwa na maelfu ya mahujaji wa Brazil wakati akianza ziara yake ya kwanza ya nje tangu achaguliwe ...
MARVIN SAPP AOONGOZA TUZO ZA STELLA 2013
MARVIN SAPP Tuzo zinazoheshimika kabisa huko nchini Marekani z...
Kirk Franklin and House of Blues Start Gospel Brunch Celebration..
Grammy-Award winning star and Gospel music icon Kirk Franklin is joining forces with House of Blues and its venues across the Unite...
ISRAEL HOUGHTON ON BET CELEBRATION OF GOSPEL..
New York, NY (April 4, 2013) -- Multiple Grammy Award winner, Israel Houghton performs on the annual BET Celebration of Gospel TV ...
WENZETU LIBERIA GOSPEL ZAO HIZI HAPA..
Niambie wametuzidi au sie tumewazidi, BARIKIWA..
PADRI MKUU HUKO UINGEREZA AJIUZULU..
Mmoja wa mapadre waandamizi wa kanisa katoliki nchini Uingereza amejiuzulu wadhifa wake kufuatia shutma za kwamba alikwenda......
PAPA AHUTUBIA BAADA YA KUTANGAZA KUJIUZULU..
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Benedict wa kumi na sita amewashukuru waumini kwa maombi yao kwake katika hotuba yake ya kwan...
PAPA BENEDICT KUJIUZULU FEBRUARI 28..
Sababu kubwa zilizotolewa na Vatican, ni kwamba hali ya kiongozi huyo wa wakatoliki kote duniani anahitaji muda mkubwa zaidi wa kupumzika...
ASKOFU THOMAS LAIZER HATUNAYE TENA!
Askofu aliyedumu kwenye nafasi ya Uaskofu zaidi ya Miongo Mitatu, Askofu Thomas Laizer amefariki jioni ya leo Katika Hospitali ya Rufa...
ASKOFU MKUU AAPISHWA RASMI..
Askofu wa zamani wa Durham Justin Welby atakuwa askofu mkuu wa 105 wa Canterbury katika ibada itakayofanyika katika kanisa kuu la St Pa...
UJUMBE WA BWANA KWA WACHUNGAJI WOTE..
UTANGULIZI: Yeremia 25:34-37 “Pigeni yowe, enyi wachungaji, na kulia; na k...
MORAVIAN YATAKA KUONDOA KESI ......!!
KANISA la Moravian Duniani lenye Makao Mkuu yake nchini Norway, limeingilia kati mgogoro wa kanisa lake Jimbo la Mashariki na Pwani T...
"ZIWA NYASA" WATU WA MUNGU WAINGILIA KATI
SIKU chache baada ya viongozi wa dini wa madhehebu ya Kikristo nchini Malawi na Tanzania kuwasiliana kwa lengo la kutaka wajadili mgo...
FLORA MBASHA KULA MWAKA MPYA LONDON..
Hakika hakuna aliyemtumaini BWANA na akaaibika, watumishi wa MUNGU, Emmanuel na mkewe Flora Mbasha, wamefanikiwa kufanya huduma huko Scotl...
ZAWADI YA MWAKA MPYA.. BARIKIWA!
Barikiwa rafiki, uliyoshindwa fikia mwaka 2012 BWANA akupe baraka zake ili uweze timiza 2013.. kumbuka KUSALI kila wakati na mshukuru MUN...
KANISA LASHAMBULIWA HUKO MISRI..
Raia wawili wa Misri wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa, kwenye shambulio liliotekelezwa dhidi ya kanisa moja la Coptic mjini Misr...
GLORIA MULIRO kipaji maridhawa kwa BWANA!
Vijana wengi wamepewa sauti nzuri na uwezo mkubwa wa kutunga, lakini ajabu wanatumia vipaji vyao kwa kuimba ya dunia...OLE WAKO! Tazama ...
ZAWADI MARIDHAWA KWAKO, YA X-MASS
HERI YA KRIS-MASS, NINI MAANA YA SIKU HII??
Wakristo kote Duniani, kila ifikapo tarehe 25/Desemba huwa ni muda wa kukumbuka kuzaliwa kwa Bwana wetu MASIAH...YESU KRISTO WA NAZARETI! ...
ASKOFU WA KWANZA MWANAMKE, ANGLIKANI!
Ellinah Wamukoya ameteuliwa kuwa askofu wa kwanza wa kike wa kanisa la Kianglikana barani Afrika. Akiongea muda mfupi baada ya kuteul...
ISRAEL YAZUIA MABOMU KWA MABOMU..
"Iron Dome" ni mmojawapo ya kinga nyingi inayomilikiwa na Israel, na inayotumika dhidi ya makombora. Mfumo huo unatumia ...
WAISRAEL WAUWAWA KWA MAKOMBORA..
Israel imesema kwamba Waisraeli watatu wameuwawa na kombora lililofyatuliwa kutoka Ukanda wa Gaza. Inasema kombora hilo lilianguki...
SHULE NA MAKANISA YACHOMWA NIGERIA..
Jeshi la Nigeria linasema kuwa polisi watatu wameuawa katika mashambulizi yaliyofanyika usiku kucha dhidi ya kituo cha polisi Kaskaz...
ASKOFU MPYA WA CANTERBURY APATIKANA..
Askofu wa Durham, Justin Welby, ambaye pia ni mfanyakazi wa zamani katika sekta ya mafuta, anatarajiwa kutajwa kama askofu mpya wa......
MCHUNGAJI DONGWE ATIMIZA MIAKA 61...
Mchungaji Meshack Bent Dongwe wa Parish ya Mbezi kwa Yusuph (KLPT) ambaye juzi tarehe 05-Novemba-2012, ametimiza miaka 61. Kwa kumshukuru...
WAKOPTI WAPATA ASKOFU MPYA..
Papa mpya ni Askofu Tawadros Kanisa la Copt la Misri limemchagua papa mpya atayewaongoza Wakristo wanaokisiwa kuwa milioni-8 nchini M...
Le’Andria Johnson ndani ya STELLA AWARDS 2013
Le’Andria Johnson baada ya kupata mtoto, kutoa album na pia kuwa na muonekano mpya!! Sasa Le’Andria ameteuliwa kuwania kugombea tuzo tatu...
WAKOPTI KUCHAGUA "PAPA" MPYA..
Hayati Pope Shenouda.. Baraza la maaskofu wa Kikopti nchini Misri, linatarajiwa kumpigia kura mrithi wa papa Shenouda wa tatu aliye...
DYNAMO ANATEMBEA JUU YA MAJI!!
Naomba maoni yako TAFADHALI.... BE BLESSED!
MTETEZI WA WANAOBAKWA ASHAMBULIWA!
Daktari Denis Mukwege akitembelea wagonjwa! Mtetezi maarufu wa wathiriwa wengi wa ubakaji katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo am...
SUDAN KUISHTAKI ISRAEL UMOJA WA MATAIFA!
Rais Omary Al-Bashir wa Sudan ya Kaskazini...... Shambulizi dhidi ya kiwanda cha Sudan liliwaua watu wawili,Sudan imesema kuw...
CHRISTIAN COMMEDY!! NDIO ANGALIA HII..
Imeandikwa "asiyefanya kazi na asile" kama mpendwa una kipaji, basi kitumie.. fanya vile ambavyo unaweza, lakini katika yote ku...
"VIJANA WASIOONA WA ALABAMA NA GOSPEL"
Wanaitwa Blind Boys of Alabama, kundi la muziki wa gospel, ambalo lilianzishwa mwaka 1939 huko Taladega Alabama USA. Ambapo waimbaji wat...
ISRAEL YAUA WAPIGANAJI WA HAMAS..
Wapiganaji wawili wa kundi la Hamas wameuwa na wengine kujeruhiwa huko Gaza na kombora la andani lililorushwa na wanajeshi wa Israel. ...
STELLA AWARDS 2012-13 ZAFIKA MLANGONI!
KIRK FRANKLIN MARY MARY Wow! Hongera kwa Kirk Franklin na Mary Mary kwa sababu wamechaguliwa kuwa waendesha shu...
ELISTONI ANGAI AACHIA SINGLE YA GOSPEL..
Hakika kila goti litapigwa, aliyekuwa mwanamuziki nguli katika muziki wa dansi Tanzania, ELISTONI ANGAI (pichani), ambaye kwa sasa ameokok...
SALAMU ZA MAASKOFU WA KKKT..
Rais Dk.Jakaya M. Kikwete akiwa na Askofu Dk.Alex Malasusa , (picha na library..), salamu za maasakofu wa KKKT, ni hizi hapa chini...... ...
KALI YA JUMA HILI KUTOKA USA,,