![]() |
Mtoto Martin akiwa na Mamaye Jaleesa |
Jaji Ballew wa huko nchini Marekani, amekataa mtoto asiitwe kwa jina la Messiah kwani jina hilo ni sahihi pekee kwa YESU KRISTO tu.. Jaji Ballew alitoa uamuzi huo..
wakati akisikiliza kesi ya msingi ambayo ilikuwa ni kuamua jina lipi la pili litumike (surname), kwa maana Baba alikuwa anataka jina la kwake litumike lakini wakati huohuo Mama naye akitaka litumike jina lingine la ubini kwa mtoto huyo.
Lakini pia Jaji Ballew amependekeza mtoto huyo aitwe kwa jina la Martin, jina ambalo wazazi hawakulikubali na wamepanga kukata Rufaa..
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.