Wapiganaji wawili wa kundi la Hamas
wameuwa na wengine kujeruhiwa huko Gaza na kombora la andani lililorushwa na
wanajeshi wa Israel.
Wanajeshi hao wanasema kuwa kombora
hilo liliwapata.....
wapiganaji hao wakipanga kuishambulia Israel kwa roketi.
Roketi kadha zilielekezwa Israel
mapema Jumanne na afisa mmoja wa Israel alijeruhiwa kutokana na mlipuko
mpakani.
Shambulio hilo lilitokea saa chache tu baada ya
kiongozi wa Qatar kufanya ziara ya kwanza ya kiongozi wa nchi tangu Hamas
ichukue uongozi miaka mitano iliyopita |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.