Monday, October 08, 2012
0


Wanamgambo wa kipalestina katika ukanda wa Gaza wamerusha makombora na mizinga kusini mwa Israeli.
Makombora hayo yametua katika eneo lisilokaliwa na watu na hakuna taarifa za kuwepo..... 
 
kwa majeruhi .
Vugu vugu linalotawala Gaza la Hamas na kundi la kiislam la Jihad limesema lilirusha makombora hayo kulipiza kisasi mashambulio ya ndege za kijeshi yaliyofanywa na Israeli na kuwajeruhi wanamgambo wawili wa kipalestina, na raia wanane kwenye ukanda wa Gaza.




0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA

66204