Mwezi wa tano mwaka huu amemaliza kifungo chake cha miaka miwili jela, alikofungwa kutokana na kukutwa na
silaha kinyume cha sheria.. JA RULE(37), ni mwanamuziki marufu wa muziki wa Hip Hop kule Marekani, amecheza filamu iitwayo “I’m in Love With a Church Girl,”
Filamu ambayo amecheza na mrembo Adrienne Bailon... Huku hadithi yenyewe ya filamu ikihusu maisha ya vijana na shughuli zao huko mitaani lakini kwa upande mwingine ikihusisha na IMANI thabiti kwa MUNGU aliye hai.. "FILAMU HII ITAENDA KUWAGUSA WALE WOTE AMBAO HAWAKUWAHI KUPATA HABARI NJEMA HAPO KABLA" alisikika akisema Jarule..
lakini pia aliongeza kusema, "FILAMU HII IMENIFANYA NIOKOKE, LAKINI SI KUSEMA KWAMBA NITATOA ALBUM YA GOSPEL, LA HASHA.."
Je ni kweli Jarule ameziacha njia zake mbaya..?? TUMUOMBEE kwani ni kwa NEEMA TU, sote tumeokolewa..
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.