Akicheza na wajukuu zake.. |
Binti yake (Beatrice) akimvalisha kofia.. |
Wakiangalia TV.. |
Wakiangalia TV.. |
Familia pamoja.. aliyejishika kidevu ni mama mchungaji |
Kushoto ni kijana wa kwanza kwa Mchungaji, anaitwa Sunday.. |
Mhh... |
Yess.. |
Kushoto ni binti wa dawa (pekee) wa Mchungaji Dongwe, na kulia ni mama (Mke wa Mchungaji Dongwe) wakifurahia jambo.. |
Lembo, Kasheba na Beatrice.. wote watoto wa mchungaji Dongwe.. |
Aleluyah... |
Msosi sasa, hiyo ni saladi! |
Matunda, ndio! sio hadi uumwe.. |
Hapana sio kuku, ni Bata.. mhh.. |
Ndiziii.. |
Pilau la njegere.. |
Chakula.. |
"Mtoto" alianza kuchukua chakula.. |
Mama naye akafuatia.. |
Mhh.. Lembo si usubiri mama amalize!! |
Vinywaji vya wapendwa ni soda tu.. |
Sunday akiendelea na msosi.. |
Kimeshaombewa, karibu tule.. |
Ba mdogo Kimata akijilamba kwa utamu wa msosi.. chezea! |
Mama Brilliant, Mke wa Sunday na mkwe wa Mchungaji Dongwe! |
Cheki alivyotoa macho... si huyu wa katikati Kasheba,, ndio! |
Lembo akimfungulia "mtoto" soda... Khatariiiii! Lembo lakini! |
Mchaga utamjua tu!!! Grace au mama Kasheba... mkwe wa mchungaji Dongwe akipata chakula.. |
Hivi Lembo, Pilau na supu kwelii??? |
Mama na mwana wanakula na kuteta... |
Sasa mama mchungaji hapo unasinzia, unafikiri, unacheka au??? aah.. lakini yote ni mema tu! ALELUYAH! |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.