Monday, December 31, 2012
0
Hakika hakuna aliyemtumaini BWANA na akaaibika, watumishi wa MUNGU, Emmanuel na mkewe Flora Mbasha, wamefanikiwa kufanya huduma huko Scotland, na sasa wanaelekea......
huko Uingereza kwenye huduma nyingine ya uimbaji huko katika jiji la London! Tuwaombee ili pia waweze kuihubiri vema injili ya Bwana na pia waweze kurejea nyumbani salama hapo baadae tarehe 20 Januari..



0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

MAONI YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

MARAFIKI

WANAO NITEMBELEA

66204