Serikali ya Brunei iliyo Kusini Mashariki mwa Bara Asia, itaanza kutumia sheria kali za kiisilamu. Kiongozi wa nc...

Serikali ya Brunei iliyo Kusini Mashariki mwa Bara Asia, itaanza kutumia sheria kali za kiisilamu. Kiongozi wa nc...
Serikali ya Kenya imelalamikia serikali ya Italia kuhusu tukio la mwanariadha mkenya kuanguka katika mkondo wa mbio za Marathon. ...
Sheria inayoruhusu wanaume kuoa wake zaidi ya mmoja, imepitishwa nchini Kenya. Rais Uhuru Kenyatta ametia saini s...
Shirikisho la mchezo wa vikapu nchini Marekani, linachunguza madai kuwa mmiliki wa klabu ya Los Angeles Clippers, Donald Sterling, ali...
Wasafiri nchini Uingereza wamekumbwa na changamoto ya usafiri baada ya wafanyakazi wa treni kugoma. Chama cha waf...
Afisaa mmoja wa polisi mwanamke nchini Kenya amepewa onyo kali kwa kuvalia sketi iliyokuwa imembana kiasi cha kuonyesha umbo lake. ...
Swala a tata la uba...
Serikali ya Kenya imelalamika kuwa haikupewa taarifa zozote kuhusu dawa za kulevya zilizonaswa na wanajeshi wa Australia wanaoshika do...
NAJUA WAJUA NAMI NAKUJUZA WEWE UNAYETAKA KUJUA MENGII YA DUNIA, Kumbe hata Bungeni watu huruhusiwa kunywa pombee: Na hii inatokea kule nc...
Jaji wa mahakama nchini Misri, amewahukumu kifo watu 683 akiwemo kiongozi wa kundi la Muslim Brotherhood Mohammed Badie. ...
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amekuwa akiongoza sherehe za kutimiza miaka 20 ya demokrasi na kumalizika kwa utawala wa ubaguzi wa r...
Umati mkubwa wa watu wamekusanyika mjini Vatican kushuhudia tukio la kihistoria ambapo viongozi wawili wa zamani wa Kanisa Katoliki, P...
Chama cha upinzani nchini Zimbabwe cha Movement for Democratic Change MDC kimesema kimemsimamisha kiongozi wake Morgan Tsvangirai kwa ...
Watu kadhaa wameripotiwa kufariki baada ya kutokea mkanyagano katika tamasha la kumkumbuka mwanamuziki maarufu wa Congo King Kester Em...
Wakenya wanakabiliwa na tisho la kufungwa jela mwaka mmoja au kulipa faini ya dola 23,000 kwa kukosa kumuita mbunge 'mheshimiwa...
Mahakama moja ya kiisilamu katika jimbo la Kano nchini Nigeria, imemkuhuku kifo mzee mwenye umri wa miaka 60 kwa kupigwa mawe hadi afe...
Mlinzi mmoja nchini Afghanistan amewaua kwa kuwapiga risasi madaktari 3 raia wa Marekani wanaofanya kazi katika hospitali moja mjini K...
Jarida la People limemtangaza Mkenya Lupita Nyong’o kama mwanamke mrembo zaidi duniani mwaka 2014. Lupita ambaye...
Je ni lazima mwanamke anayekwenda kujiburudisha katika kibanda cha kuvutia Shisha aambatane na mwanamume ambaye ni maharamu wake au ja...
Takriban watu 63 wamefariki baada ya treni iliyokuwa imebeba abiria kupoteza mwelekeo Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya C...
Watu wanne, wakiwemo maafisa wawili wa polisi, wameuawa jana usiku mjini Nairobi baada ya gari walilolizuia kulipuka, lilipokuwa likiele...
Marekani imeonya Urusi dhidi ya matamshi yake makali kuhusu Ukraine. Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo John Ker...
Kumezuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira usiku kucha katika mojawapo ya viunga vya mji wa Rio de Janeiro. ...
Mchezaji wa klabu ya Ac Bongoville,Sylvain Azougoui amefariki baada ya kupigwa teke la kichwani wakati wa mechi ya ligi kuu nchini Gab...
Meneja wa klabu ya Manchester United David Moyes ametimuliwa. David Moyes amefutwa kazi baada ya kushikilia usuk...
Mvulana mmoja mwenye umri wa miaka 16 amenusurika kifo kwa maajabu baada ya kujificha na kusafiri katika gurudumu la ndege iliyokuwa i...
Mbunge mmoja ameuawa katika shambulizi la bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari mjini Mogadishu Somalia. Kundi ...
Mjadala umezuka nchini Rwanda ambapo baadhi ya wananchi wanataka kurejeshwa kwa hukumu ya kifo nchini kufuatia kesi dhidi ya mwanamme ...
Wanahabari wanne wa Ufaransa walioachiliwa baada ya kutekwa nyara na wanamgambo nchini Syria karibia mwaka mmoja uliopita wamewasili n...
Wanawake nchini Venezuela wanatumia kemikali haramu kuongeza ukubwa wa makalioyao na kujiletea madhara makubwa ya kiafya ...
Maafisa wawili wa polisi nchini Misri wameuawa kufuatia shambulizi la risasi katika barabara kati ya mji wa Cairo na mfereji wa Suez. ...